About the author

Simba SC Tanzania

    • 1 month ago

    Chama hajijui kua yuko mtegoni kama wanamsamini angepea mwaka 1

    • 1 month ago

    Huwez mfanananisha mutale na mwamba Lusaka chama,chama ni jembe la kimataifa

    • 1 month ago

    Hatuangalii tumepoteza nini, tunaangalia kwa sasa tunakitu gani. Simba nguvu moja

    • 1 month ago

    hili kuzima story za chama tomemposti mutalee mapemaa ahaaaaaaaaaa simbaaaaa nguvu mojaa

    • 1 month ago

    Yanga bingwa

    • 1 month ago

    Hamna kitu apo

    • 1 month ago

    Anajua Mumgu ampe uzima

    • 1 month ago

    Sadio Kanoute is not a traitor but surrounded by frog's informers if possible convince him to stay

    • 1 month ago

    Uyu ni bonge la mchezaji shida inakuja utopolo ni watu wabaya sana awachelewi kuwatupia majini wachezaji wetu kama walivyo mfanya baleke

    • 1 month ago

    Jaman wana simba tutulie chama hakuzaliwa afie simba tushukuru kwa yale aliyotufanyia tuache lawama , ombi langu kwa viongoz wafanye usajili bora utakao futa maneno ya huyu mtoto ally kamwe ametusema vibaya kweli

    • 1 month ago

    Safi sana wanasimba tushikamane kusapoti timu yetu

    • 1 month ago

    Jamn kitu hpa

    • 1 month ago

    Huyo sasa ndiyo mchezaji,Chama mzito kama nanga,tutamsahau Chama haraka sana

    • 1 month ago

    Highlight ya kipumbavu kabisa sasa hii inaonesha nini

    • 1 month ago

    Viongozi kiweni makini na wavhezaji wetu wasje wakahalibiwa na watu wa uto

    • 1 month ago

    Saf xana cimb sport club

    • 1 month ago

    Kwa mbali ananikumbusha N'golo Kante.

    • 1 month ago

    Mmh

    • 1 month ago

    😂❤ furaha

    • 1 month ago

    Huyu anatakiwa awe nyuma ya jobe maana hawa wote wana mbio

    • 1 month ago

    Kwaizo skills labda ligi ya bongo imkatae

    • 1 month ago

    Kwaizo skills labda ligi ya bongo imkatae

    • 1 month ago

    Anacheza kitimu kuisaidia timu

    • 1 month ago

    aibu hii.

    • 1 month ago

    MAYELEEE TUNAMTAKAAA.

    • 1 month ago

    Muddo on fire

    • 1 month ago

    Dogo halembi mpira, bali mpira pass

    • 1 month ago

    Simba sihami mpka mlele🎉

    • 1 month ago

    Simba sihami mpka mlele🎉

    • 1 month ago

    Nguvu moyaa

    • 1 month ago

    Hii mashine.. Inapiga chenga inatoa pasi Inatembea siyo kusimamisha mpira kuanza kupiga chenga unapoteza move ya mashambulizi… Kama yule alienda pale mafulikoni fc

    • 1 month ago

    Karib

    • 1 month ago

    namuona ni mchezaji machachari, ana safari ndefu ya kuthibitisha ni mchezaji hatari,

    • 1 month ago

    Bechi la ufundi yaani wazee wa uchawi inabidi asije fanywa Kama kramo haki muwe wajajnja ataishia kupewa welcome tuu hamna maajabuu

    • 1 month ago

    Mungu amlinde ampe nguvu aipambanie simba kwa manufaa

    • 1 month ago

    Wakawaida sana labda atawasumbua Azam sio Yanga 😁🏃

    • 1 month ago

    Ako vizuri speed yake sio mbaya

Leave feedback about this

  • Quality
  • Price
  • Service
Choose Image